Mathayo 2:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 na, wakati alipokuwa akiwatuma Bethlehemu, akasema: “Nendeni mkamtafute kwa uangalifu yule mtoto mchanga, na mkiisha kumpata nileteeni habari, ili mimi vilevile nipate kwenda na kumsujudia.”+
8 na, wakati alipokuwa akiwatuma Bethlehemu, akasema: “Nendeni mkamtafute kwa uangalifu yule mtoto mchanga, na mkiisha kumpata nileteeni habari, ili mimi vilevile nipate kwenda na kumsujudia.”+