Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 22:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Na palikuwa na mtu aliyepinda upinde bila kujua, lakini akampiga mfalme wa Israeli katikati ya viungio na vazi la chuma, naye akamwambia mwendesha-gari+ wake: “Geuza mkono wako, uniondoe katika kambi, kwa sababu nimeumizwa vibaya.”

  • 1 Mambo ya Nyakati 10:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na pigano likawa kali juu ya Sauli; na mwishowe wanaopiga mishale kwa kutumia upinde wakampata, na hao wapiga-mishale wakamuumiza.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki