Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 21:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo Yezebeli mke wake akamwambia: “Je, ni wewe unayetawala ukiwa mfalme juu ya Israeli?+ Amka, ule mkate na moyo wako ufurahi. Mimi mwenyewe nitakupa shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli.”+

  • Yuda 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Watu hawa ni wanung’unikaji,+ walalamikaji juu ya fungu lao maishani, wakiendelea kulingana na tamaa zao wenyewe,+ na vinywa vyao husema mambo ya kujigamba,+ huku wakisifu kwa kustaajabia watu mashuhuri+ kwa ajili ya faida yao wenyewe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki