-
Danieli 3:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Ndipo Nebukadneza akajaa ghadhabu, na sura ya uso wake ikabadilika juu ya Shadraki, Meshaki na Abednego. Akasema kwamba tanuru itiwe moto mara saba kuliko ilivyokuwa kawaida kuitia moto.
-