-
Ezekieli 1:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na chini ya anga hilo mabawa yao yalikuwa yamenyooka, moja kuelekea lingine. Kila mmoja alikuwa na mabawa mawili yakifunika upande huu na kila mmoja alikuwa na mawili yakifunika upande ule wa miili yao.
-