Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Lakini miaka saba ya njaa itakuja baada yake, nayo shibe yote ya nchi ya Misri itasahaulika nayo njaa itaimaliza nchi.+

  • Mwanzo 41:54
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 54 nayo miaka saba ya njaa ikaanza kuja, kama vile tu Yosefu alivyokuwa amesema.+ Nayo njaa ikawa katika nchi zote, lakini mkate ulipatikana katika nchi yote ya Misri.+

  • Mwanzo 42:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kwa hiyo wana wa Israeli wakafuatana na wengine waliokuwa wakienda kununua, kwa sababu kulikuwa na njaa katika nchi ya Kanaani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki