Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 1:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na wana wa Israeli wakazaa na kuanza kujaa; nao wakazidi kuongezeka na kuwa wenye nguvu zaidi kwa kiwango kisicho cha kawaida, hivi kwamba wakaijaza nchi.+

  • Kumbukumbu la Torati 7:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Naye hakika atakupenda na kukubariki+ na kukuzidisha+ na kubariki uzao wa tumbo lako+ na mazao ya udongo wako,+ nafaka yako na divai yako mpya na mafuta yako, watoto wa ng’ombe wako na uzao wa kundi lako,+ kwenye nchi aliyowaapia mababu zako ya kwamba atakupa wewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki