Mwanzo 21:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Kwa hiyo akaanza kumwambia Abrahamu: “Mfukuze kijakazi huyu na mwana wake, kwa maana mwana wa kijakazi huyu hatakuwa mrithi pamoja na mwanangu, Isaka!”+
10 Kwa hiyo akaanza kumwambia Abrahamu: “Mfukuze kijakazi huyu na mwana wake, kwa maana mwana wa kijakazi huyu hatakuwa mrithi pamoja na mwanangu, Isaka!”+