25 “Uwe tayari kusuluhisha mambo upesi pamoja na mtu anayekushtaki mahakamani, wakati unapokuwa pamoja naye njiani kwenda huko, ili kwa njia fulani mlalamikaji+ asikutie mikononi mwa hakimu, naye hakimu kwa mtumishi wa mahakama, nawe utupwe ndani ya gereza.