-
Nehemia 5:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Na kile kilichoandaliwa kila siku, ng’ombe-dume mmoja, kondoo bora sita na ndege waliandaliwa kwa ajili yangu, halafu kila namna ya divai+ ikaandaliwa kwa wingi mara moja kila baada ya siku kumi. Na pamoja na hayo sikutaka mkate ulio haki ya gavana, kwa maana kazi ya utumishi juu ya watu hawa ilikuwa yenye kulemea.
-
-
Esta 1:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Hata siku hizo zilipotimia, kwa siku saba mfalme akawafanyia karamu watu wote waliokuwa katika ngome ya Shushani, wakubwa kwa wadogo, katika ua wa bustani ya jumba la kifalme.
-