Isaya 10:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 “Na itatukia kwamba Yehova atakapokomesha kazi yake yote katika Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, ndipo nitakapotoza hesabu kwa ajili ya matunda ya dharau la moyo wa mfalme wa Ashuru na kwa ajili ya kujihesabia makuu kwa majivuno ya macho yake.+
12 “Na itatukia kwamba Yehova atakapokomesha kazi yake yote katika Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, ndipo nitakapotoza hesabu kwa ajili ya matunda ya dharau la moyo wa mfalme wa Ashuru na kwa ajili ya kujihesabia makuu kwa majivuno ya macho yake.+