Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:56
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 56 Naye mwanamke aliye mwororo sana na aliye laini kati yako ambaye hakujaribu kamwe kuuweka wayo wa mguu wake kwenye udongo kwa kuwa alikuwa laini na kwa sababu ya wororo wake,+ jicho lake litakuwa na mwelekeo mwovu kwa mume wake anayetunzwa kwa upendo na mwana wake na binti yake,

  • Isaya 3:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Na Yehova anasema: “Kwa sababu binti za Sayuni wamekuwa na majivuno, nao wanatembea shingo zao zikiwa zimenyooshwa na kutupa macho yao kwa kutamani, wanatembea kwa hatua fupifupi, na kwa miguu yao wanatoa milio ya kengele,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki