-
Yoshua 7:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi Yoshua, na Israeli wote pamoja naye, wakamchukua Akani+ mwana wa Zera na ile fedha na lile vazi rasmi na kile kipande cha dhahabu+ na wanawe na binti zake na ng’ombe zake na punda zake na kundi lake na hema lake na kila kitu kilichokuwa chake, wakawaleta katika nchi tambarare ya chini ya Akori.+
-