1 Samweli 22:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Baadaye Daudi akaondoka huko akaenda Mispe katika Moabu, akamwambia mfalme wa Moabu:+ “Tafadhali, acha baba yangu na mama+ yangu wakae pamoja nanyi mpaka nitakapojua yale ambayo Mungu atanitendea.”
3 Baadaye Daudi akaondoka huko akaenda Mispe katika Moabu, akamwambia mfalme wa Moabu:+ “Tafadhali, acha baba yangu na mama+ yangu wakae pamoja nanyi mpaka nitakapojua yale ambayo Mungu atanitendea.”