Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 32:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 na Sedekia mwenyewe, mfalme wa Yuda, hataponyoka kutoka mkononi mwa Wakaldayo, kwa maana bila shaka atatiwa mkononi mwa mfalme wa Babiloni, na kinywa chake kitasema na kinywa cha yule, na macho yake yatayaona macho ya yule”’;+

  • Yeremia 52:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na jeshi la Wakaldayo likamfuatilia mfalme,+ nao wakamfikia Sedekia+ katika nchi tambarare za jangwa la Yeriko; na jeshi lake lote likatawanyika kutoka upande wake.+

  • Amosi 2:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Na mahali pa kukimbilia pataangamia kutoka kwa yule aliye mwepesi,+ wala hakuna yeyote mwenye nguvu atakayeimarisha nguvu zake, wala hakuna mwanamume yeyote mwenye nguvu ambaye ataiponya nafsi yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki