Mambo ya Walawi 26:38 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 38 Nanyi mtaangamia katikati ya mataifa,+ nayo nchi ya adui zenu itawala ninyi. Kumbukumbu la Torati 30:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 nawaambia ninyi leo kwamba hakika mtaangamia.+ Hamtarefusha siku zenu katika nchi mnayovuka Yordani ili kuimiliki.
18 nawaambia ninyi leo kwamba hakika mtaangamia.+ Hamtarefusha siku zenu katika nchi mnayovuka Yordani ili kuimiliki.