Yeremia 51:59 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 59 Neno ambalo Yeremia nabii alimwamuru Seraya mwana wa Neria+ mwana wa Mahseya+ alipoenda pamoja na Sedekia mfalme wa Yuda kule Babiloni katika mwaka wa nne wa kuwa kwake mfalme; na Seraya ndiye aliyekuwa msimamizi wa makao.
59 Neno ambalo Yeremia nabii alimwamuru Seraya mwana wa Neria+ mwana wa Mahseya+ alipoenda pamoja na Sedekia mfalme wa Yuda kule Babiloni katika mwaka wa nne wa kuwa kwake mfalme; na Seraya ndiye aliyekuwa msimamizi wa makao.