Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 26:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Ila tu mnapaswa kujua kabisa kwamba, ikiwa mnaniua, ni damu isiyo na hatia ambayo mnajiletea juu yenu wenyewe na juu ya jiji hili na juu ya wakaaji wake,+ kwa maana kwa kweli Yehova alinituma kwenu niseme masikioni mwenu maneno haya yote.”+

  • Yeremia 38:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Ee bwana wangu mfalme, watu hawa wametenda mabaya kwa yote ambayo wamemtendea Yeremia nabii, ambaye wamemtupa ndani ya tangi la maji, hivi kwamba atakufa+ hapo alipo kwa sababu ya njaa.+ Kwa maana hakuna mkate tena jijini.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki