4 na Sedekia mwenyewe, mfalme wa Yuda, hataponyoka kutoka mkononi mwa Wakaldayo, kwa maana bila shaka atatiwa mkononi mwa mfalme wa Babiloni, na kinywa chake kitasema na kinywa cha yule, na macho yake yatayaona macho ya yule”’;+
18 Lakini ikiwa hutaenda nje kwa wakuu wa mfalme wa Babiloni, jiji hili pia lazima litatiwa mkononi mwa Wakaldayo, nao kwa kweli wataliteketeza kwa moto,+ nawe hutaponyoka mkononi mwao.’”+