-
Ezekieli 32:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 “Mwana wa binadamu, mfanyie wimbo wa huzuni Farao mfalme wa Misri, nawe utamwambia, ‘Umenyamazishwa kama mwana-simba wa mataifa mwenye manyoya shingoni.+
“ ‘Nawe umekuwa kama mnyama mkubwa wa majini katika bahari,+ nawe uliendelea kufoka katika mito yako, nawe ukaendelea kutibua maji kwa miguu yako na kuichafua mito yao.’
-