Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 9:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na, tena, damu ya nafsi zenu nitaitaka. Kwa mkono wa kila kiumbe kilicho hai nitaitaka; na kwa mkono wa mwanadamu, kwa mkono wa kila mmoja ambaye ni ndugu yake, nitaitaka nafsi ya mwanadamu.+

  • Ezekieli 33:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Mimi ninapomwambia mtu mwovu, ‘Wewe mwovu, hakika utakufa!’+ lakini kwa kweli wewe usiseme ili kumwonya mwovu aiache njia yake,+ yeye mwenyewe kwa kuwa ni mwovu atakufa katika kosa lake,+ lakini damu yake nitaidai katika mkono wako.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki