1 Wafalme 16:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Naye akanunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha, naye akaanza kujenga juu ya huo mlima na kuita jina la jiji alilolijenga Samaria,+ kulingana na jina la Shemeri bwana wa ule mlima.
24 Naye akanunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha, naye akaanza kujenga juu ya huo mlima na kuita jina la jiji alilolijenga Samaria,+ kulingana na jina la Shemeri bwana wa ule mlima.