Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 21:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “‘“Na baada ya hayo,” asema Yehova, “Nitamtia Sedekia mfalme wa Yuda na watumishi wake na watu na wale wanaobaki katika jiji hili baada ya tauni ile, na upanga na njaa, katika mkono wa Nebukadreza mfalme wa Babiloni, katika mkono wa adui zao na katika mkono wa wale wanaoitafuta nafsi yao, na hakika yeye atawapiga kwa ukali wa upanga na kuwaua.+ Hatawasikitikia, wala kuwahurumia wala kuwa na rehema yoyote.”’+

  • Yeremia 34:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 ndiyo, nitawatia mkononi mwa adui zao na mkononi mwa wale wanaoitafuta nafsi yao;+ na maiti zao zitakuwa chakula kwa viumbe vinavyoruka vya mbinguni na kwa wanyama wa dunia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki