Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:51
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 51 Nao hakika watakula uzao wa wanyama wako wa kufugwa na mazao ya udongo wako mpaka utakapokuwa umeangamizwa,+ nao hawatakuachia nafaka yoyote, divai mpya au mafuta, mtoto wa ng’ombe wako au uzao wa kundi lako, mpaka watakapokuwa wamekuangamiza.+

  • Ezekieli 16:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Nami nitakutia mkononi mwao, nao hakika watakibomoa kilima+ chako na vilele vyako hakika vitabomolewa,+ nao watakuvua mavazi+ yako na kuvichukua vyombo vyako vyenye urembo+ na kukuacha ukiwa uchi na tupu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki