Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 46:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Misri ni ndama-jike mrembo sana. Kutoka upande wa kaskazini hakika mbu atakuja juu yake.+

  • Ezekieli 31:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “ ‘Umefanana na nani hivyo katika utukufu+ na ukuu katikati ya miti ya Edeni?+ Lakini hakika utashushwa pamoja na miti ya Edeni mpaka nchi iliyo chini.+ Utalala chini pamoja na wale waliouawa kwa upanga katikati ya watu ambao hawajatahiriwa. Huyu ni Farao na umati wake wote,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki