-
Ezekieli 32:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 “ ‘Kuna Elamu+ na umati wake wote kulizunguka kaburi lake pande zote, hao wote wakiwa wameuawa, wale wanaoanguka kwa upanga, ambao wameshuka chini wakiwa hawajatahiriwa mpaka nchi iliyo chini, wale ambao wamesababisha hofu yao katika nchi ya wale walio hai; nao watachukua fedheha yao pamoja na wale wanaoshuka kuingia katika shimo.+
-