-
Ezekieli 41:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Nalo jengo lililokuwa mbele ya eneo lililotengwa, ambalo upande wake wa kando ulielekea magharibi, lilikuwa na upana wa mikono 70. Nao ukuta wa jengo ulikuwa na upana wa mikono 5, kuzunguka pande zote; nao urefu wake ulikuwa mikono 90.
-