Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 40:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kisha akaja katika lango, ambalo upande wake wa mbele unaelekea mashariki,+ akapanda juu kwa kutumia ngazi zake. Naye akaanza kupima kizingiti cha lango hilo,+ upana wa utete mmoja, na kile kizingiti kingine, upana wa utete mmoja.

  • Ezekieli 44:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ndipo Yehova akaniambia: “Lango hili, litakaa likiwa limefungwa. Halitafunguliwa, na hakuna mtu wa vivi hivi tu atakayeliingilia; kwa maana Yehova mwenyewe, Mungu wa Israeli,+ ameliingilia, nalo litakaa likiwa limefungwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki