Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 34:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “‘Nao mpaka wenu wa magharibi,+ utakuwa Bahari Kuu na nchi ya pwani. Huo utakuwa mpaka wenu wa magharibi.

  • Yoshua 23:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Oneni, niliwagawia kwa kura+ mataifa haya yanayobaki yawe urithi kwa ajili ya makabila yenu, na mataifa yote ambayo nilikatilia mbali,+ kuanzia Yordani mpaka Bahari Kuu upande wa magharibi.+

  • Ezekieli 48:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Na kando ya mpaka wa Gadi, hadi mpaka wa kusini, litakuwa kuelekea kusini; nao mpaka utakuwa kutoka Tamari+ hadi maji ya Meribath-kadeshi,+ hadi kwenye bonde la mto,+ hadi kwenye ile Bahari Kuu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki