4 Na eneo lenu litakuwa kutoka nyika hii na huu mlima Lebanoni mpaka ule mto mkubwa, mto Efrati, yaani, nchi yote ya Wahiti,+ na mpaka kwenye ile Bahari Kuu upande wa magharibi.+
12 Na mpaka wa upande wa magharibi ulikuwa kwenye Bahari Kuu+ na nchi iliyo kando yake. Huu ndio uliokuwa mpaka wa wana wa Yuda kuzunguka pande zote kulingana na familia zao.