-
Waamuzi 10:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa hiyo wakawavunja-vunja na kuwakandamiza sana wana wa Israeli mwaka huo—kwa miaka kumi na minane wana wote wa Israeli waliokuwa ng’ambo ya Yordani katika nchi ya Waamori iliyokuwa katika Gileadi.
-