Danieli 1:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Naye ofisa mkuu wa makao ya mfalme akawapa majina.+ Basi akamwita Danieli jina Belteshaza;+ Hanania akamwita Shadraki; Mishaeli akamwita Meshaki; naye Azaria akamwita Abednego.+
7 Naye ofisa mkuu wa makao ya mfalme akawapa majina.+ Basi akamwita Danieli jina Belteshaza;+ Hanania akamwita Shadraki; Mishaeli akamwita Meshaki; naye Azaria akamwita Abednego.+