Danieli 5:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvika Danieli mavazi ya zambarau, pamoja na mkufu wa dhahabu shingoni mwake; nao wakatangaza kumhusu yeye kwamba atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.+
29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvika Danieli mavazi ya zambarau, pamoja na mkufu wa dhahabu shingoni mwake; nao wakatangaza kumhusu yeye kwamba atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.+