Danieli 5:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Ndipo wakati huohuo vidole vya mkono wa mtu vikatokea na kuandika mbele ya kinara cha taa juu ya lipu ya ukuta wa jumba la mfalme,+ naye mfalme akawa anaona sehemu ya nyuma ya mkono uliokuwa ukiandika.
5 Ndipo wakati huohuo vidole vya mkono wa mtu vikatokea na kuandika mbele ya kinara cha taa juu ya lipu ya ukuta wa jumba la mfalme,+ naye mfalme akawa anaona sehemu ya nyuma ya mkono uliokuwa ukiandika.