Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 12:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Waovu wanatembea kuzunguka pande zote,

      Kwa sababu uovu unatukuzwa katikati ya wana wa binadamu.+

  • Luka 2:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi katika siku hizo Kaisari Augusto alitoa amri+ kwamba dunia yote inayokaliwa iandikishwe;

  • Luka 3:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Katika mwaka wa kumi na tano wa kumiliki kwa Kaisari Tiberio, Pontio Pilato alipokuwa gavana wa Yudea, na Herode+ alipokuwa mtawala wa wilaya ya Galilaya, lakini Filipo ndugu yake alikuwa mtawala wa wilaya wa nchi ya Iturea na Trakoniti, na Lisania alikuwa mtawala wa wilaya ya Abilene,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki