-
Luka 2:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Basi katika siku hizo Kaisari Augusto alitoa amri kwamba watu wote wa dunia inayokaliwa waandikishwe.
-
-
Luka 2:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Basi katika siku hizo agizo kutoka kwa Kaisari Augusto likatoka kwamba dunia yote inayokaliwa ipate kusajiliwa;
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yosefu na Maria wanasafiri kwenda Bethlehemu; Yesu anazaliwa (gnj 1 35:30–39:53)
-