Yohana 15:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Kumbukeni neno nililowaambia, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake. Ikiwa wamenitesa mimi, watawatesa ninyi pia;+ ikiwa wamelishika neno langu, watalishika lenu pia.
20 Kumbukeni neno nililowaambia, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake. Ikiwa wamenitesa mimi, watawatesa ninyi pia;+ ikiwa wamelishika neno langu, watalishika lenu pia.