-
Yohana 15:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Zingatieni akilini neno nililowaambia, Mtumwa si mkubwa zaidi kuliko bwana-mkubwa wake. Ikiwa wameninyanyasa mimi, watawanyanyasa nyinyi pia; ikiwa wameshika neno langu, watashika lenu pia.
-