Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wakati huo watumishi wa Nebukadneza mfalme wa Babiloni walipanda mpaka Yerusalemu, hivi kwamba jiji hilo likazingirwa.+

  • 2 Wafalme 25:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na jeshi la Wakaldayo+ likamfuatilia mfalme, nao wakamfikia+ katika nchi tambarare za jangwa la Yeriko;+ na jeshi lake lote likatawanyika kutoka upande wake.

  • Yeremia 52:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Hawa ndio watu ambao Nebukadreza alipeleka uhamishoni: katika mwaka wa 7, Wayahudi 3,023.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki