Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 31:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Watakuja wakilia,+ nami nitawaleta wakiwa na maombi yao ya kusihi wakitaka kibali. Nitawatembeza kwenye mabonde ya mito ya maji,+ katika njia iliyo sawa ambayo ndani yake hawatakwazwa. Kwa maana mimi nimekuwa Baba kwa Israeli;+ naye Efraimu, yeye ni mzaliwa wangu wa kwanza.”+

  • Ezekieli 37:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 waambie, ‘Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema hivi: “Tazama, ninakichukua kijiti cha Yosefu, kilicho mkononi mwa Efraimu, na wenzake, makabila ya Israeli, nami nitawaweka juu yake, yaani, kijiti cha Yuda, nami kwa kweli nitavifanya kuwa kijiti kimoja,+ navyo vitakuwa kimoja mkononi mwangu.” ’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki