31 Ndipo Yesu akawaambia: “Ninyi nyote mtakwazika kuhusiana nami usiku huu, kwa maana imeandikwa, ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa kundi watatawanyika huku na huku.’+
32 Tazameni! Saa inakuja, kwa kweli, imekuja, wakati mtakapotawanyika na kwenda kila mmoja kwenye nyumba+ yake nanyi mtaniacha peke yangu; na bado siko peke yangu, kwa sababu Baba yuko pamoja nami.+