Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 12:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “Paaza sauti na upige kelele kwa shangwe, Ee mwanamke mkaaji wa Sayuni, kwa maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu katikati yako.”+

  • Isaya 60:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kwa maana kwako wewe jua halitakuwa tena nuru wakati wa mchana, na mwezi hautakupa tena mwangaza kuwa nuru. Na Yehova atakuwa kwako nuru+ inayodumu mpaka wakati usio na kipimo, na Mungu wako kuwa urembo wako.+

  • Hagai 2:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “ ‘Utukufu wa nyumba hii ya baadaye utakuwa mkubwa kuliko ule wa ile ya zamani,’+ asema Yehova wa majeshi.

      “ ‘Na katika mahali hapa nitawapa amani,’+ asema Yehova wa majeshi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki