Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 25:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 “Nawe utafanya sahani zake na vikombe vyake na mitungi yake na mabakuli yake watakayotumia katika kumimina matoleo ya kinywaji. Utavifanya kutokana na dhahabu safi.+

  • Kutoka 37:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Baada ya hilo akafanya kutokana na dhahabu safi vile vyombo vilivyo juu ya meza, sahani zake na vikombe vyake na mabakuli yake na mitungi yake iliyotumiwa kumimina matoleo ya kinywaji.+

  • Hesabu 4:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Nao watatandika kitambaa cha bluu juu ya meza+ ya mkate wa wonyesho, nao wataweka juu yake sahani+ na vikombe na mabakuli+ na mitungi ya toleo la kinywaji; na ule mkate+ wa daima utakaa juu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki