-
Mathayo 7:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Mnafiki! Kwanza toa boriti lililo katika jicho lako mwenyewe, na ndipo utakapoona waziwazi jinsi ya kuutoa unyasi ulio katika jicho la ndugu yako.
-