Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 7:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “Kwa hiyo kila mtu anayesikia maneno yangu haya na kuyatenda atafananishwa na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba.+

  • Yohana 14:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Yesu akajibu, akamwambia: “Ikiwa yeyote ananipenda, atalishika+ neno langu, na Baba yangu atampenda, nasi hakika tutakuja kwake na kukaa pamoja naye.+

  • 1 Timotheo 6:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 kwamba uishike amri katika njia isiyo na doa na isiyolaumika mpaka wakati wa ufunuo+ wa Bwana wetu Yesu Kristo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki