Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 19:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Yesu akawaambia: “Kwa kweli ninawaambia ninyi, Katika uumbaji-mpya Mwana wa binadamu atakapoketi juu ya kiti chake cha ufalme chenye utukufu, ninyi ambao mmenifuata mtaketi pia juu ya viti vya ufalme kumi na viwili, mkiyahukumu yale makabila kumi na mawili ya Israeli.+

  • Mathayo 20:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Akamuuliza: “Unataka nini?” Akamjibu: “Toa agizo ili hawa wanangu wawili waketi, mmoja upande wako wa kuume na mmoja upande wako wa kushoto, katika ufalme wako.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki