Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Walipokuwa wamemtundika mtini+ wakagawa mavazi yake ya nje+ kwa kupiga kura,+

  • Yohana 19:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Sasa wakati askari-jeshi walipokuwa wamemtundika Yesu mtini, wakachukua mavazi yake ya nje na kufanya sehemu nne, kwa kila askari-jeshi sehemu moja, na vazi la ndani. Lakini lile vazi la ndani lilikuwa halina mshono, likiwa limefumwa kutoka juu mpaka urefu wake wote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki