51 Lakini, tazama! mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu akanyoosha mkono wake akauchomoa upanga wake, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu akalikata sikio lake.+
10 Ndipo Simoni Petro, kwa kuwa alikuwa na upanga, akauchomoa na kumpiga mtumwa wa kuhani mkuu, akalikata sikio lake la kuume.+ Jina la mtumwa huyo lilikuwa Malko.