Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:71
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 71 Alipokuwa amekwisha kutoka na kwenda kwenye chumba kilicho langoni, msichana mwingine alimwona na kuwaambia wale waliokuwa hapo: “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.”+

  • Marko 14:69
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 69 Huko yule kijakazi, alipomwona, akaanza tena kuwaambia wale waliosimama kando: “Huyu ni mmoja wao.”+

  • Yohana 18:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Sasa Simoni Petro alikuwa amesimama akiota moto. Ndipo wakamwambia: “Wewe pia ni mmoja wa wanafunzi wake, sivyo?” Akakana na kusema: “Hapana.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki