1 Wafalme 17:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi akaondoka, akaenda Sarefathi, akafika kwenye mwingilio wa jiji; na tazama! mwanamke, mjane, alikuwa hapo akikusanya kuni. Basi akamwita na kumwambia yule mwanamke: “Tafadhali, niletee maji kidogo katika chombo ninywe.”+
10 Basi akaondoka, akaenda Sarefathi, akafika kwenye mwingilio wa jiji; na tazama! mwanamke, mjane, alikuwa hapo akikusanya kuni. Basi akamwita na kumwambia yule mwanamke: “Tafadhali, niletee maji kidogo katika chombo ninywe.”+